Ashraf JK 💚💙
Ashraf JK 💚💙
February 24, 2025 at 11:09 AM
Cisplatin: Dawa ya Kansa ya Mapafu, Korodani, Shingo ya Kizazi, Via vya Kuzalisha Mai, na Kibofu Cha Mkojo. Wagonjwa Wanaotumia Dawa hii wapo kwenye Hatari ya kupata Shida ya anemia, Damu kuganda, Shida za Moyo, Kutoona vizuri, Ngozi kuwasha na mabadiliko ya Usikivu.
Image from Ashraf JK 💚💙: Cisplatin: Dawa ya Kansa ya Mapafu, Korodani, Shingo ya Kizazi, Via vy...
❤️ 1

Comments