Friends of Dr. Doto Biteko(KNK)
Friends of Dr. Doto Biteko(KNK)
February 7, 2025 at 06:23 AM
Ni Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM ambapo Dkt. Doto Biteko Mbunge wa Jimbo la Bukombe atasoma Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu. Ni kawaida kwa Mheshimiwa Biteko ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kuwasilisha Ilani kila baada ya mwaka mmoja. Mgeni Rasmi katika shughuli hii itakayofanyika Tar. 08/02/2025 Katika Uwanja wa CCM Kata ya Igulwa Mkabala na Ofisi ya CCM Wilaya ya Bukombe atakuwa Dkt. Jakaya Kikwete Rais Msitaafu wa Awamu ya Nne. #knk #kaziiendelee
Image from Friends of Dr. Doto Biteko(KNK): Ni Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM ambapo Dkt. Doto Biteko Mbunge wa Jimbo...
🙏 1

Comments