Friends of Dr. Doto Biteko(KNK)
Friends of Dr. Doto Biteko(KNK)
February 26, 2025 at 05:14 PM
WALIMU SEMENI SHIDA ZENU, MSIJIONE DUNI - DKT. BITEKO 📌 Serikali yatumia mabilioni kulipa madeni ya walimu 📌 Asema walimu ni nguzo ya Taifa 📌 Kliniki ya Walimu neema kwa walimu nchini 📌 CWT yapongezwa kwa kushirikiana na Serikali kutatua changamoto za walimu Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka walimu nchini kuwasilisha changamoto zao na Serikali ipo tayari kuzipatia ufumbuzi na imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali za kuboresha maslahi yao na pamoja mazingira bora ya kazi. Dkt. Biteko ameyasema hayo Februari 26, 2025 mkoani Geita wakati aliposhiriki katika ‘Samia Teacher’s Mobile Clinic - Geita’ inayolenga kusikiliza na kutatua kero za walimu Mkoani Geita. “ Walimu semeni shida zenu na wakati wote msijione duni, oneni namna Serikali inavyoweza kutatua changamoto zenu. Nataka niwakumbushe Watanzania kuwa ninyi ni nguzo ya taifa letu, zoezi hili linamfanya mwalimu mwenyewe kukutana na watoa huduma Serikalini ili kujua
Image from Friends of Dr. Doto Biteko(KNK): WALIMU SEMENI SHIDA ZENU, MSIJIONE DUNI - DKT. BITEKO  📌 Serikali yat...
🙏 1

Comments