
Internet Point | Faraja
February 23, 2025 at 02:25 PM
Kifupi wanakuwa wameweka kiwango flani Cha data.. hicho ukikifikia basi wanapunguza speed (throttling)
Ama wanakata huduma kabisa... Mfano Yas.. wenyewe wanatoa 35GB kwa siku kwa hiyo ukimaliza kabla ya saa sita usiku... Basi huduma inakata na itakubidi usubiri saa sita ifike..
Airtel wao Wana data cap ya 600GB ukifikisha hizo wanapunguza speed (throttling) hata halotel naye ni hivyo hivyo
note; kwa mujibu wa radio mbao naskia voda hicho kitu Hana kabisa yeye kanyooka.. hada mambo ya limit
✅
❤️
👍
📌
4