Internet Point | Faraja
Internet Point | Faraja
February 26, 2025 at 10:16 AM
Kama upo kwenye Freelancing na intaneti imekuwa changamoto kwako basi leo nakuletea mwarobaini Ukiwa na bajeti ya tsh 100k au 150k unapata huduma ya unlimited kwa kasi ya 20Mbps na 50Mbps Si lazima ununue Router kubwa bali unaweza kutumia kwenye simu au Mini mi-fi kwa 70k tu🤗
👍 2

Comments