Secar Sport
Secar Sport
February 1, 2025 at 02:43 PM
*FULL TIME* Nottingham forest 7️⃣-0️⃣ Brighton Nottingham wamedhamiria kucheza UEFA champions league msimu ujao , baada ya mchezo wa leo Nottingham amefikisha alama (47) nafasi ya (3) akiwa amefungana point na Arsenal huku kinara Liverpool akiwa na alama 53

Comments