
Secar Sport
February 4, 2025 at 07:16 AM
Mashabiki wa yanga wametaka kumpa zawadi Aucho baada ya mechi ya Ken gold itakapoisha ,
Ikiwa ni ishara ya heshima na umuhimu wake kwenye kikosi na mashabaki wengine wataka AUCHO asiondoke yanga hata akistafu abakie kuwafundisha wachezaji.
Na wengine wametaka AUCHO aandaliwe tuzo ya heshima pale atakapo taka kuondoka ama kustafu pale yanga .
