Secar Sport
Secar Sport
February 4, 2025 at 11:25 AM
"Mchezo wa kesho utakuwa mgumu kwani Ken Gold wamesajili wachezaji wengi dirisha dogo na wanae kocha mzuri hatujui wataingiaje katika mchezo wa kesho . Tumefunga magoli mengi katika mchezo uliopita ila bado tunahitaji kujiimarisha zaidi katika eneo la ushambuliaji kuweza kufungua walinzi wa timu pinzani tuweze kupata mianya ya kupachika magoli Pia kuhusu Jonathan Ikangalombo ni mchezaji mzuri sana ila bado yupo kwenye mazoezi ya kujiweka imara zaidi katika utimamu wa mwili kuepeka kupata majeraha ya mara kwa mara". Ameyasema hayo kocha mkuu wa Dar es salaam Young Africans sc kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Ken Gold, ni wazi kuwa Ikangalombo ataukosa mchezo wa kesho kutokana na sababu alizoeleza kocha
Image from Secar Sport: "Mchezo wa kesho utakuwa mgumu kwani Ken Gold wamesajili wachezaji wen...

Comments