Secar Sport
Secar Sport
February 4, 2025 at 11:31 AM
Zifahamu Timu 10 za Afrika zinazoongoza kwa namba ya wafuasi katika mitandao ya kijamii🌍 • Al Ahly — 59.6 million • Zamalek SC — 16.3 million • Simba SC — 12.6 million • Raja CA — 11.9 million • Kaizer Chiefs — 10.4 million • Orlando Pirates — 6.1 million • Mamelodi Sundowns — 6 million • Young Africans — 6 million • Wydad AC — 5.7 million • Pyramids FC — 4.7 million Simba sc ikiwa ndani ya tatu bora kwenye mitandao ya jamii kama: Facebook, Instagram, YouTube, X, Thread, TikTok 👏
Image from Secar Sport: Zifahamu Timu 10 za Afrika zinazoongoza kwa namba ya wafuasi katika mi...

Comments