๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
February 3, 2025 at 12:44 PM
*USIMZOEE KIASI CHA KUPOTEZA UHURU WAKO.* Mahusiano yanapaswa kuwa na uwiano kati ya Upendo na Uhuru. Usimzoee mwanamke kupita kiasi hadi unashindwa kufanya maamuzi yako binafsi au unamhofia kupita kiasi. *Mwanamke anayekupenda kweli atakuheshimu zaidi ukiwa na msimamo na maisha yako nje ya mahusiano.* _Mapenzi si utumwa, wala hayatakiwi kukufanya ujisahau._ Usiruhusu hisia zako zikuongoze hadi ukajikuta unamfanya yeye kuwa kila kitu. *Mwanamume mwenye thamani yake hujitegemea kihisia na ana uwezo wa kuendelea na maisha hata bila uhusiano.* Ikiwa huwezi kumuacha mwanamke kwa sababu umemzoea sana uwepo wake, basi tayari umepoteza udhibiti wa maisha yako. Mwanamke anapenda mwanaume anayejua thamani yake na anayesimamia maisha yake bila kuyumbishwa. _*Linda uhuru wako, jithamini, na hakikisha heshima yako inabaki imara.*_ *Hapo ndipo utaheshimiwa na kupendwa kwa dhati.* *ONYESHA THAMANI YAKO* WhatsApp In-box ๐Ÿ‘‡ https://wa.me/message/36OZ47M2H4RAA1 WhatsApp Channel OTHUMAN FACT Channel. ..https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s
Image from ๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง: *USIMZOEE KIASI CHA KUPOTEZA UHURU WAKO.*  Mahusiano yanapaswa kuwa na...
๐Ÿ‘ โค๏ธ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ ๐Ÿ™ ๐ŸงŽโ€โ™€๏ธ 6

Comments