
๐ข๐ง๐๐จ๐ ๐๐ก ๐๐๐๐ง
February 4, 2025 at 06:45 AM
Kila siku unapoamka, unachagua aina ya maisha unayoishi, *maamuzi yako leo yataamua furaha au majuto yako kesho.*
*_Utafanya Nini Leo Ili Kesho Yako Iwe Bora?_*
Unatumia vipi pesa zako kuwekeza au kuzitumbua?
Unatumia muda wako kujifunza au kupoteza kwenye starehe?
*Unapanga vipi maisha yako ya kifamilia, au unasubiri muda uamue kwa niaba yako?*
Usijifariji kwa kusema *โBado Muda Upoโ* huku siku zinapita bila maendeleo. Hakuna mtu atakayekuja kukushika mkono ni lazima uchukue hatua mwenyewe!
- _Anza kuweka akiba hata kama ni kidogo._
- _Jifunze maarifa mapya kila siku._
- _Tafuta uthabiti wa maisha, siyo anasa za muda mfupi._
- _Kua na maono makubwa na uyafanyie kazi sasa._
*Maisha yako ya baadaye ni kielelezo cha maamuzi yako ya leo. Usije ukajutaโฆ*
Anza sasa!
WhatsApp In-box ๐ https://wa.me/message/36OZ47M2H4RAA1
WhatsApp Channel OTHUMAN FACT Channel. ..https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s

โค๏ธ
๐จ๐ฉ
๐
๐
๐ค
5