๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง
February 4, 2025 at 01:47 PM
*MWANAUME ANAYEKUJALI ATAKUWEKEA MIPAKA* Wanawake wengi huona mwanaume anayeweka mipaka kama ni mkali au mwenye wivu, lakini ukweli ni kwamba mwanaume anayekupenda kwa dhati atakujali na kulinda heshima yako. *Kama anakukataza kuvaa mavazi yasiyo na heshima, ni kwa sababu anataka uthaminiwe.* Kama hakutaki uwe na marafiki wa kiume, ni kwa sababu anajua hulka za wanaume wengine. _*Kama anakukataza kutoka usiku, ni kwa sababu anahofia usalama wako.*_ Mwanaume asiyejali chochote kuhusu tabia zako, mavazi yako, au watu unaoshinda nao hana mapenzi ya kweli. Kupendwa si kulelewa kiholela, bali ni kulindwa na kupewa mwongozo sahihi. *Kama una mwanaume anayekuwekea mipaka yenye maana, ujue umebarikiwa.* Bado thamani na umuhimu wako ni mkubwa kwa mmeo. WhatsApp In-box ๐Ÿ‘‡ https://wa.me/message/36OZ47M2H4RAA1 WhatsApp Channel OTHUMAN FACT Channel. ..https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s
Image from ๐—ข๐—ง๐—›๐—จ๐— ๐—”๐—ก ๐—™๐—”๐—–๐—ง: *MWANAUME ANAYEKUJALI ATAKUWEKEA MIPAKA*  Wanawake wengi huona mwanaum...
โค๏ธ โœ… ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ ๐Ÿ‘ 5

Comments