
๐ข๐ง๐๐จ๐ ๐๐ก ๐๐๐๐ง
February 5, 2025 at 10:40 AM
*Wanawake wengi wanajifunza kuhusu mahitaji yao ya kihisia lakini hawapati elimu ya kutosha kuhusu mahitaji ya kihisia ya wanaume.* Kutokana na hili, wanadhani kuwa wanaume hawana hisia nyeti zinazohitaji uangalizi wao.
Baadhi ya wanawake wenye mafanikio makubwa wanatumia muda mwingi na watu wanaoshabihiana nao kazini au kwenye biashara, *jambo linalopunguza uhusiano wa kihisia na waume zao.*
Lazima tujifunza kuhusu mahitaji ya kihisia ya jinsia zote mbili kusaidia kurekebisha changamoto kama hizi.
WhatsApp In-box ๐ https://wa.me/message/36OZ47M2H4RAA1
WhatsApp Channel OTHUMAN FACT Channel. ..https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s
โ
๐จ๐ฉ
๐ข
๐
4