
๐ข๐ง๐๐จ๐ ๐๐ก ๐๐๐๐ง
February 14, 2025 at 08:29 AM
*Usifanye maamuzi kwa sababu ya hisia za muda mfupi.*
Usijiumize kifedha au kihisia kwa kitu cha siku moja.
*Heshimu mipaka yako na uijue thamani yako.*
Usikubali shinikizo la zawadi au mwaliko usio na mipango mizuri.
*Afya yako, heshima yako, na mustakabali wako ni wa muhimu zaidi kuliko sherehe ya muda mfupi.*
Unapaswa kuelewa. *"Vya bure vinatesa,"* na maamuzi mabaya ya Leo yanaweza kukugharimu maisha yako yote.
*Fikiri kabla ya kutenda!*
WhatsApp In-box ๐ https://wa.me/message/36OZ47M2H4RAA1
WhatsApp Channel OTHUMAN FACT Channel. ..https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s

โค๏ธ
๐
๐ค
3