
๐ข๐ง๐๐จ๐ ๐๐ก ๐๐๐๐ง
February 17, 2025 at 07:01 AM
Ujuwe kuna sehemu watu wanakushangaa sana eti umekomaa kuitafuta amani kwenye mahusiano na malaya, mdangaji, mchunaji, tapeli wa mapenzi.
Hao watu ndugu yangu wamejaa kiburi... unyenyekevu hakuna, wamejaa uongo uongo tu, Ukweli hakuna.
Wamejaa machozi, hapo usitegemee kicheko...
Wamejaa roho ya kudidimiza, usitegemee utahurumiwa... Wamejaa roho ya kukushusha thamani, usitegemee et atajisifia kwa ajili ya heshima yako.
Chagua chaguo jingine ..Hapo utakesha na presha na vilio juu!
WhatsApp In-box ..https://wa.me/message/36OZ47M2H4RAA1
WhatsApp Channel OTHUMAN FACT Channel. ..https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s

๐
โค๏ธ
๐ข
๐ฎ
๐ค
6