๐ข๐ง๐๐จ๐ ๐๐ก ๐๐๐๐ง
February 20, 2025 at 01:58 PM
*Atatokea Mtu atakwambia kwamba wenzako wameshaoa, au wenzako wameshaolewa, wenzako wana watoto, wenzako wamesoma wana degree, wenzako wana magari.*
Ndugu yangu, hapa duniani hakuna mwenzako... Usishindane usishindanishwe, usifanane usifananishwe.
*Hii kitu imewafanya watu wengi wafanye vitu wasivyotarajia na vinavyowatesa mpaka leo.*
My dear, ni ukweli kabisa kwamba kwenye hii dunia huna mwenzako... Umezaliwa peke yako.
Kama wakati wako haujafika, usiforce... Wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana.
WhatsApp In-box ๐ https://wa.me/message/36OZ47M2H4RAA1
WhatsApp Channel OTHUMAN FACT Channel. ..https://whatsapp.com/channel/0029VaLtsI46buMBVNc8Q40s
๐
๐
โค๏ธ
๐
7