
Elimu Ya Afya
February 18, 2025 at 09:12 AM
*Choo bora ni Ustaarabu! Choo bora ni Utu.*
Yafahamu matumizi sahihi ya choo bora katika kujilinda na magonjwa pamoja na utunzaji wa mazingira.
Kwa elimu na taarifa piga namba 199 BURE.
#mtuniafya