
Elimu Ya Afya
194 subscribers
About Elimu Ya Afya
Pata elimu kuhusu masuala mbalimbali Afya kupitia Chaneli hii ya Wizara ya Afya 🇹🇿.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Kauli mbiu ya Siku ya Hedhi Duniani 2025: *“Wezesha mazingira ya hedhi salama yenye utu kwa wasichana na wanawake wote”* Kwa pamoja tuchukue hatua kwa kuvunja ukimya, kubadili mitazamo, mila na desturi zetu ili kuhakikisha hedhi haizuii wasichana na wanawake kupata elimu, huduma za afya, au fursa mbalimbali. Tujenge dunia ambayo hedhi ni jambo la kawaida na kila mmoja anaweza kuimudu kwa heshima na usalama. 🌍❤️ #HedhiNiMaisha #PeriodFriendlyWorld #MHDay2025 👉 Sambaza ujumbe huu kuhamasisha mabadiliko!
