
Elimu Ya Afya
February 19, 2025 at 10:22 AM
Chakula huwa salama pale tu ambapo kinakuwa hakiwezi kuleta madhara kwa mlaji.
🍖🍱🥘🍛
Tizama video 🎥 hii fupi kwaajili ya kujifunza kuhusu usalama wa chakula.
📱Kwa taarifa na elimu piga namba 199 BURE.
#foodsafety