
Elimu Ya Afya
February 21, 2025 at 10:32 AM
✅80% ya magonjwa yanaambukizwa🦠 kwa kugusana. 🙏
✅Ukinawa mikono kwa usahihi 💦🚰🧼🧴🤗 unapunguza uwezekano wa kuugua magonjwa ya kuhara kwa 40% na 20% ya magonjwa ya mfumo wa hewa.
*Mikono safi huokoa maisha.*
#handwashing