
Elimu Ya Afya
February 23, 2025 at 07:31 AM
Ugonjwa wa Sikoseli ni moja ya magonjwa ambayo yamegubikwa na dhana potofu.
Sikiliza video hii kuweza kufahamu ukweli kuhusu ugonjwa huu.
Kwa taarifa zaidi piga namba 199 Bure au tembelea mitandao yetu ya kijamii.
#sicklecell