
Elimu Ya Afya
February 23, 2025 at 02:57 PM
Vyombo vya usafiri ni moja ya maeneo yenye hatari kubwa ya kuweza kusambaza ugonjwa wa Marburg.
Zifahamu kanuni za tahadhari ili kujikinga na Marburg pamoja na magonjwa mengine ya kuambukiza uwapo safarini.
#mtuniafya