Nukta Habari
Nukta Habari
February 12, 2025 at 09:02 AM
Wakati matumizi ya akili mnemba yakiendelea kushika kasi katika shughuli mbalimbali duniani, hivi karibuni kuna ugunduzi mpya wa teknolojia ya akili mnemba unayotajwa kuwa mpinzani wa Chat GPT. Kwa wasiofahamu ChatGPT ni programu ya mawasiliano ya akili mnemba inayotumia teknolojia ya hali ya juu ya lugha asilia (Natural Language Processing – NLP) kuwezesha mawasiliano yanayoiga mazungumzo halisi ya binadamu. Kupitia teknolojia hii yenye matoleo manne tangu kuanzishwa kwake na kampuni ya Open AI mwaka 2018 watumiaji wanaweza kuuliza maswali yanayohitaji ufafanuzi wa kina, kupata usaidizi wa kuandika ripoti, makala na maudhui mengine pamoja na kutafsiri lugha. https://nukta.co.tz/ifahamu-deep-seek-ai-mshindani-wa-chat-gpt
Image from Nukta Habari: Wakati matumizi ya akili mnemba yakiendelea kushika kasi katika shughu...

Comments