
AJIRA TANZANIA✅
January 31, 2025 at 06:54 AM
Sorry 😔 members kw kwa kushindwa kupost matangazo ya ajira kw zaid ya wik sasa🙏..nilipata changamoto ambay Iliniweka bize sana😔
But inshallah am back tunaendelea na matangazo yetu ya ajira kama kawaida 🤝..naomba pia kama una tangazo la ajira au unajua mahal wanapokea wafanyakzi unipe taarfa inbox kw namb 0765890897 🤝🙏...pia wale walionichek inbox kw ajili ya kujiunga na VIP group wanichek tena kw namba hizo apo juu