
AJIRA TANZANIA✅
1.4K subscribers
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Kuna nafas w za uwakika apa ninazo kw wadada ambazo n . Mdada Mmoja wa kuuza duka la sendo za kike na za kiume anahitajika eneo la kazi n kinomdoni studio mshahar laki Moja kula,usafir juu ya boss . Anahitajik wadawa wawil wa kuuza duka la urembo ; cosmetics & skincare ..awe na elim kwanzia kidato Cha nne location n apa dar pia mshahr 180k naul na kula juu ya boss Kazi zote izo 2 ninazo na zipo wazi na zinahitaj wafanyaz kw haraka🙏 Kama unawez kazi Moja wapo kati ya hizo jiung na VIP group then niambie ni nafs gan unawez apo nikuunganish nayo Moja kw Moja🤝 *Jinsi ya kujiunga n VIP group njoo inbox kw namba 0765890897 nikupe maelekezo*

Hello Mr Patrick Tunaitaji technical people. Wenye ujuzi wa kuzalisha electric cables tu. Wakazi wa dar es salaam tu. Watume CV kwa Whatsapp number +255748791003 Mwisho tarehe 30/1/2025 Wasipige simu tafadhali.

Habari kaka P Naomba nisaidie kupata 3 candidates eah for following discipline - health and safety officer - environmental officer - property manager/care taker - social worker Sens your CV to [email protected]