
AJIRA TANZANIA✅
February 18, 2025 at 08:24 AM
Habari za leo kaka P
Naomba nisaidie kutangaza natafuta kazi ya Media Production (Cinematograph)
Nimesoma:
Social Media management, Photo&Videoproduction with Graphics Design.
Ninauzoefu wa miaka sita katika kazi hio… nipo tayari kufanya kazi katika taasisi ama kampuni yoyote au mtu binafsi.
Hivi sasa Napatikana Arusha:
Call: 0765 177 581 au 0654 308 121