
AJIRA TANZANIA✅
February 20, 2025 at 07:12 AM
Habari, Anahitajika kijana wa chips mwaminifu na mchangamfu na anaewez kuchoma mishikaki na kuku(kuchanganya viungo vizuri) vizuri ofisi ipo sinza palestina kula kwa boss
Mshahala 100k kwa mwezi na itapanda akiwa serious na kazi
No,0622248908 tsap na kawaida
NB; HATUHITAJI ANAEJIFUNZA