
UwepoTv E.S.Ministry
February 2, 2025 at 09:12 AM
*UVUMILIVU*
Bonya channel kutazama video yote ujifunze kitu.
Ukiomba amini umepokea
Ukiomba kwa Mungu kuwa na subra na uwe MVUMILIVU kungoja majibu ya maombi yako, maana unaweza ukapishana na majibu ya maombi yako. TAZAMA VIDEO HIYO
*Soma*
_Waebrania 6:12 ili msiwe wavivu, bali mkawe wafuasi wa hao wazirithio ahadi kwa imani na *uvumilivu*._
Barikiwa
SERVANT: Franklin_Henocko
❤️
2