
UwepoTv E.S.Ministry
62 subscribers
About UwepoTv E.S.Ministry
*EBENEZER Shalom Ministry* _*Psalms 145: 9*.------ _YAHUAH is good to all, And His tender mercies are over all His works._
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

*KWA JINA LA YESU KRISTO SIMAMA UENDE* Sina fedha wala dhahabu ya kukupa kwa Jina la Yesu Kristo pokea uponyaji, pokea uchumi, afya njema, ufahamu wa elimu, pokea ndoa, na upendo na kupendelewa. Amen Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko


*KANYAGA NG'E NA NYOKA MAISHANI MWAKO* Kwa jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliyehai KANYAGA wachawi ( nyoka), mapepo, magonjwa, umasikini, KANYAGA kufeli masomo na biashara. Kila sumu ya NG'E (magonjwa, mapepo majini) haita kudhuru wewe *(Isaya 54:17 hakuna silaha itayofanikiwa juu yako..ikafanikiwa...)* KANYAGA una mamlaka piga hao KANYAGA wasikuharibie uchumi, afya, kazi na biashara au familia. Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko


*YESU KRISTO AKUFUTE MACHOZI YAKO* Muite Yesu akuokoe, afute MACHOZI yako ya sirini na hadharani, aondoe kifo katika maisha yako, kazi yako, biashara yako na aondoe mambo yote mabaya ya awali uliyopitia yakakuumiza na kukufunga baraka zako. Aondoe kilio katika familia na ndoa yako kwa jina la Yesu Kristo pokea kicheko na furaha na uzima wa afya, biashara, kazi, masomo na familia. Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko


*FUNGUKA (EFATHA)* Kwa Jina la Yesu Kristo FUNGUKA uchumi, afya iliyofungwa uumwe kila wakati, FUNGUKA elimu yako na watoto wako, FUNGUKA UTOKE gerezani mwa wachawi, FUNGUKA kazini kwako, biasharani Mwako ukastawi kwa jina la Yesu Kristo, FUNGUKA uchawi ukutoke ukamtumike Mungu wa kweli Zaburi 68:4. EFATHA= FUNGUKA kila jambo lililofungwa kwako kichawi na kishirikinanau kwa laana za wabaya wako kwa jina la Yesu Kristo amen. Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko


*OMBA UTOLEWE KWENYE MITEGO YOTE YA SIRI* Kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo aliyehai kila mtego, nyavu na kifungo ukichowekewa kwa Siri kitoke na king'oke kwa jina la Yesu .. ijue kweli ukawe huru Sasa. *Yohana 8:32* Kweli ni neno na neno ndiye *Yesu Kristo* Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko


*KUMBUKA* Kuwa Makini na wanadamu, Hata wale ndugu wa Damu, jipe muda na watu kabla ya kuwapa ukaribu na umuhumu, Usiwaamini haraka ukaja kujilaumu. Usiwategemee sana wakaja kukudhulumu Shabbat Shalom Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko


*TUUNGAME NA KUTUBU DHAMBI ZETU* Kiri kukosa, Kiri dhambi yako *(ungamo),* TUBU dhambi yaani OMBA MSAMAHA na toba *(acha usitende tena)* TUTUBU dhambi zetu tulizofanya kwa kuwaza, kunena na kutenda. Naye Mungu Baba kwa mamlaka na Nguvu ya ondoleo la dhambi, Nguvu ya Yesu Kristo atatuondolea dhambi zetu kwa Rehema zake kwakuwa yeye ni Mwaminifu na ni Mtakatifu Pekee TUBU acha kujiona Mtakatifu. Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko


Song: Umenipendelea Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko

*UNAMTEGEMEA NANI?* Maana huko ndio baraka zako zilipo au laana na mikosi. *Soma* Yeremia 17: 7ย Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake. 8ย Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda. Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko


*UNA MAPITO!?* Mkiri Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliyehai katika shida yako, katika MAPITO ya afya yako, biashara yako..kazi yako. Ndoa yako. Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko
