UwepoTv
UwepoTv
February 5, 2025 at 06:29 PM
New EBENEZER Shalom Ministry Logo *1 Samweli 7:12* Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake *Eben-ezeri* akisema, Hata sasa Bwana ametusaidia. *Waamuzi 6:24* Ndipo Gideoni akamjengea Bwana madhabahu hapo, akaiita jina lake, *Yehova Shalomu* hata hivi leo iko huko katika Ofra ya Waabiezeri. Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko
Image from UwepoTv: New EBENEZER Shalom Ministry Logo *1 Samweli 7:12* Ndipo Samweli akatw...
🙏 ❤️ 3

Comments