
UwepoTv E.S.Ministry
February 7, 2025 at 04:15 PM
*CHUNGA MDOMO WAKO*
Bwana Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliyehai asifiwe. KADOSH KADOSH KADOSH ADONAI T'VAOTH.
MTU WA MUNGU
Usitumie kinywa chako kunena maneno ya ukaidi, na kukosa adabu. Wala usikae na watu wakunena hivyo. Usitumie kinywa chako kunena maneno ya kupotosha au kupindisha ukweli yaan UONGO na uangamivu. Kaa mbali pia na watu wanenao upotovu na UONGO utampendeza Mungu nae atakubariki.
Soma
_*Mithali 4:24 4 Kinywa cha ukaidi ukitenge nawe, Na midomo ya upotovu uiweke mbali nawe.*_
Barikiwa
SERVANT: Franklin_Henocko

❤️
👍
🙏
5