UwepoTv
UwepoTv
February 9, 2025 at 07:39 AM
*YOTE YANAWEZEKANA KWAKE MUNGU* bonya view channel usome Tunapitia gumu? Ukiwa na Mungu Baba YAHUAH yote YANAWEZEKANA. SIKIA 1. Bahari haikumzuia Musa 2. Ukuta wa Ulinzi haumkuzuia Yoshua 3. Goliati hakumuzuia Daudi 4. Kifo hakikumshinda Yesu Kristo 5. Delila na Upofu havikumkuzuia Samson Ukiwa na Mungu Baba YAHUAH ELOHYM hakuna linaloshindikana kwako. 1. Mchawi hatakuweza 2. Maneno ya watu hayatakuweza 3. Umasikini hautakushinda 4. Masomo hayatakushinda wewe wala wanao kwa jina la Yesu Kristo Pokea kushinda kwa jina La Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliyehai. Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko
Image from UwepoTv: *YOTE YANAWEZEKANA KWAKE MUNGU* bonya view channel usome  Tunapitia gu...
❤️ 👍 3

Comments