UwepoTv
UwepoTv
February 11, 2025 at 06:30 PM
*FURAHINI KWASABABU HII* Kutoa pepo wachafu sio kibali cha kuingia mbinguñi, mapepo kukuogopa na kutii sio wewe kwamba imeandikwa jina lako mbinguñi, hapana Bali _*Luka 10:20 Lakini, msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii; bali furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni.*_ Acha dhambi, mkiri na kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yako utafanywa kuwa Mwana wa Mungu na utaandikwa jina lako mbinguñi Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko EBENEZER Shalom Ministry
Image from UwepoTv: *FURAHINI KWASABABU HII*  Kutoa pepo wachafu sio kibali cha kuingia mb...
❤️ 3

Comments