UwepoTv E.S.Ministry
UwepoTv E.S.Ministry
February 14, 2025 at 05:52 AM
*UNGAMA DHAMBI ZAKO UPONE* * _*1 Yohana 1:9 Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote*_ Udhalimu ni pamoja na mabaya yote yanayopangwa kukukuta, uliyonenewa na wabaya. Usipoungama wanapata HAKI na mlango wa kukupiga na ubaya uwe uchawi, uganga, majini na magonjwa ya kipepo watakupata UNGAMA DHAMBI zako ili Yeye Mungu ABBA YAHUAH akuondolee hayo na akusafishe mwili na Roho ukapate kuwa na ulinzi wa Mungu. Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko EBENEZER Shalom Ministry
Image from UwepoTv E.S.Ministry: *UNGAMA DHAMBI ZAKO UPONE*  * _*1 Yohana 1:9 Tukiziungama dhambi zetu,...
❤️ 👍 🙏 4

Comments