UwepoTv
UwepoTv
February 18, 2025 at 07:28 PM
*MKIKAA NDANI YANGU NAMI NITAKA NDANI YENU,* Asema Mungu wa Majes _Yohana 15:4 Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu._ _Yohana 15:6 Mtu asipokaa ndani yangu, hutupwa nje kama tawi na kunyauka; watu huyakusanya na kuyatupa motoni yakateketea._ Barikiwa CHAGUA kukaa ndani yake Yesu Kristo nae akae Ndani yako ili UOMBE utakako utapata na usitupwe kama tawi lisilozaa likanyauka na kuchomwa moto SERVANT:Franklin_Henocko
Image from UwepoTv: *MKIKAA NDANI YANGU NAMI NITAKA NDANI YENU,* Asema Mungu wa Majes   _Y...
❤️ 🙏 4

Comments