
UwepoTv
February 20, 2025 at 03:49 PM
*UPENDELEO WA MUNGU KWAKO MI WA MILELE* Mpokee Yesu Kristo ili ukae upande wa upendeleo wa Mungu.
_Zaburi 30:5 Maana ghadhabu zake ni za kitambo kidogo, Katika radhi yake mna uhai. Huenda kilio huja kukaa usiku, Lakini asubuhi huwa furaha._
Fanya TOBA na REHEMA ili ghadhabu ya Mungu isiwe juu yako.
Barikiwa
SERVANT: Franklin_Henocko

🙏
2