
UwepoTv
February 23, 2025 at 04:04 AM
*MUNGU HATAKUPUNGUKIA*
1. Usiogope
2. Kuwa moyo wa ushujaa
3. Msiwahofu wabaya
4. MUNGU anakwenda pamoja nawe
5. Hata KUPUNGUKIA
Bwana Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliyehai asifiwe, KADOSH KADOSH KADOSH ADONAIY T'SVAOTH.
Soma
_*Kumbukumbu la Torati 31:6 Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwahofu; kwa maana Bwana, Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha.*_
Barikiwa
SERVANT: Franklin_Henocko

🙏
❤️
4