UwepoTv
UwepoTv
March 1, 2025 at 08:54 AM
*NI DHAMBI SIO MAPENZI*, Na sio *Mapenzi* ni Ngono na ni uchafu ukuchafuao mbele za Mungu _*Wagalatia 5:19* Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,_ _*Waefeso 5:3* Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wo wote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu;_ Barikiwa SERVANT: Franklin_Henocko
Image from UwepoTv: *NI DHAMBI SIO MAPENZI*, Na sio *Mapenzi* ni Ngono na ni uchafu ukucha...
❤️ 2

Comments