SOKALOJIA
SOKALOJIA
February 11, 2025 at 01:07 AM
REST DEFENCE & REST ATTACK. ✍🏻 Rest Defence (Muundo Wa ulinzi wakati timu inashambulia). ✍🏻 Ni jinsi timu inavyojiweka kimkakati 'wakati ipo na mpira' ili kuzuia mashambulizi ya kushtukiza (counterattacks) ikiwa itapoteza umiliki wa mpira. ✍🏻 Rest Defence, inaundwa na wachezaji wote waliopo nyuma ya msitari wa washambuliaji, e.g, Timu ambayo ikiwa kwenye nusu ya Mwisho inakuwa na Muundo wa 3-2-5, wanaounda Rest Defence ni hawa 3-2. ( Picha hapo juu ☝🏻 ) DHUMUNI NI.. inaendelea.....
Image from SOKALOJIA: REST DEFENCE  &  REST ATTACK.  ✍🏻 Rest Defence (Muundo Wa ulinzi waka...
❤️ 🔥 2

Comments