START TEK
February 21, 2025 at 04:02 PM
Natafuta kijana wa kazi za uenezi na mauzo. Kuuza simu na kutoa huduma za kiteknolojia.
Awe na smartphone, awe mkarimu, problem solver, competent and creative . Na mwenye kujituma.
Tuma maombi yako kupitia nambari
0615783177
Ally Yusuph Masoli, HR department.
MOBITECH HUB TANZANIA
🎉
👊
👍
🤩
4