
START TEK
67 subscribers
About START TEK
START TEK | Empowering Your Brand Digitally ⚡ Tunabobea katika kukuza biashara yako kupitia huduma za kidigitali zenye ubunifu na matokeo. 🔹 Digital Branding & Design 🔹 Social Media Management 🔹 Content Strategy & Development 🔹 Digital Skills Support & Tech Tips 🔹 Uwakala wa Huduma za Mtandao Telegram channel 🔔 https://t.me/start_tek Instagram 🔰 https://www.instagram.com/start_tek_ 📩 Email: [email protected] 📍 Tunakupa msaada wa karibu, ubunifu wa hali ya juu, na suluhisho za kisasa kwa brand yako.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

⚠️ Gharama: • Inahitaji bajeti, ila inalipa kulingana na matumizi. 📌 Mifano: – Canva Pro – ChatGPT Plus – Grammarly Premium – Jasper AI – Adobe Firefly Pro 🎯 Hitimisho: Free tools ni nzuri kwa majaribio & personal use. Paid tools zinaongeza tija, ubora na matokeo ya kitaalamu. 🔥 #TechTips by START TEK 👉 Endelea kujifunza na kuboresha kazi zako kwa kutumia nguvu ya AI! 📲 Tufuate kwa content zaidi za tech na digital tools.

🤖 FREE vs PAID AI TOOLS – Ni kipi bora kwa matumizi yako ya kidigitali? 🧠💡 START TEK inakuletea ulinganifu wa haraka wa zana za akili bandia kwa matumizi ya kila siku: 🔓 FREE AI TOOLS (Bure) ✅ Faida: • Zinapatikana kwa urahisi • Hakuna gharama – bora kwa wanaoanza • Useful kwa majukumu madogo (e.g. image editing, grammar check, idea generation) ⚠️ Changamoto: • Limited features • Slow processing & ads nyingi • Output quality mara nyingine si ya kiwango cha juu • Hakuna priority support 📌 Mifano: – Canva Free – ChatGPT Free – Grammarly Basic – Remove.bg – TinyWow 💎 PAID AI TOOLS (Kwa Malipo) ✅ Faida: • Advanced features & templates • Speed + reliability + HD output • Hakuna matangazo • Support ya haraka • Kiwango cha kitaalamu – bora kwa biashara, content creators, developers n.k.


How To Write A Book With 12 Simple Prompts ➡️ Share 🤖 START TEK


📄✨ Get CamScanner FREE for 30 Days! Unahitaji kutumia CamScanner Premium bila kulipia? Fuata hatua hizi rahisi👇 🔹 Tembelea tovuti hii: 🌐 tempumail.com Unda temporary mail ya haraka au tumia custom mail yenye domain: @yomail.edu.pl 🔹 Kisha fungua app ya CamScanner Original (iliyopakuliwa kutoka Playstore). Nenda kwenye: Settings ➝ Edu Benefits ➝ Ingiza Email ya .edu 🔹 Tengeneza password → Verify hiyo temp mail → Chagua shule yoyote (hata ya kubahatisha) ✅ Umefanikiwa! Sasa una CamScanner Premium kwa mwezi mzima bila malipo. 🚀 #FREECONTENT by START TEK 👉 Tunakupa tech hacks, tools na mbinu za kuokoa gharama kila siku!


Step 1: Open ChatGPT Step 2: Upload your Logo Step 3: write down the Prompt given below Prompt: Create a highly detailed, textured logo for [Brand Name], made of thick yarn or wool. Each section of the logo should be in a different vibrant color (matching the reference image provided). The yarn should have a knitted texture with clearly visible fibers, giving a soft, dynamic 3D appearance. Ensure the logo has a three- dimensional effect with shading that makes it look like a knitted piece of fabric. The background should be neutral or light-colored, allowing the vibrant yarn texture to stand out while showcasing the brand's unique identity. ➡️ Share 🤖 START TEK


Step 1: Open ChatGPT Step 2: Upload your Logo Step 3: write down the Prompt given below A highly stylized portrait of same person in image with sharp features, flawless fair skin, wearing a black t-shirt, black sunglasses and standing against a bold red gradient background, confidently. The lighting is dramatic and cinematic, emphasizing his facial structure and giving a luxury fashion magazine vibe. Ultra-realistic, high-detail, editorial photography style. 4K resolution, symmetrical composition, minimal background elements, 4:3 ratio. Don't forget to leave a reaction 😊 ➡️ Share 🤖 START TEK
