START TEK
START TEK
February 22, 2025 at 11:34 AM
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 1. Matron (Nafasi 3) Shule ipo Mbezi Luguruni. Mwombaji awe na cheti cha Form Four au cheti cha kozi yoyote. Awe tayari kukaa shuleni. Kumbuka gharama za usafiri. 2. Patron (Nafasi 1) Mwombaji awe na cheti cha Form Four au kozi yoyote. Awe tayari kukaa katika bweni. Kumbuka gharama za usafiri. 3. Mwalimu wa Chekechea (Nafasi 1) Shule ipo Mbezi. Mshahara: TZS 400,000. Awe na uwezo mzuri wa kufundisha na kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha. Kumbuka gharama za usafiri. 4. Walimu wa Chekechea (Nafasi nyingi - Dar es Salaam pekee) Shule ina mazingira mazuri na mshahara mzuri. Kumbuka gharama za usafiri. 5. Walimu wa Physics na Mathematics (Nafasi 3) Shule zipo Dar es Salaam. Mshahara mzuri. Inapendekezwa kuwa na Diploma au Degree. Kumbuka gharama za usafiri. 6. Walimu wa Mathematics (Nafasi 3) Shule zipo Dar es Salaam. Mshahara mzuri. Inapendekezwa kuwa na Diploma au Degree. Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana kupitia namba husika. ☎️ 0615813053
🙏 1

Comments