START TEK
START TEK
February 23, 2025 at 07:38 PM
🍽️ FURSA ZA AJIRA – RESTAURANT YA KIMATAIFA MASAKI 🍽️ Tunatafuta wafanyakazi wenye uzoefu kwa moja ya restaurant zinazoongoza Masaki, Dar es Salaam. Kama unatafuta kazi kwenye mazingira mazuri yenye malipo bora, hii ni nafasi yako! NAFASI ZINAZOPATIKANA: ✅ Waiters / Waitress ✅ Barista ✅ Shisha Man ✅ Pastry Chef ✅ Demi Chef ✅ Indian Chef ✅ IT, Social Media Manager & Marketer SIFA ZA MUOMBAJI: 🔹 Awe na uzoefu wa miaka 2 katika nafasi anayotuma maombi. 🔹 Awe na uwezo mzuri wa kuzungumza Kiingereza. 🔹 Awe na urahisi wa kufika kazini (Easy commute). 🔹 Awe tayari kuanza kazi mara moja! TUNATOA: ✅ Mazingira bora ya kazi ✅ Mshahara mzuri ✅ Usafiri wa kufika kazini 📩 Jinsi ya Kutuma Maombi: Tuma ujumbe kwa WhatsApp au piga simu kupitia +255 683 068 886 kwa maelezo zaidi. 🚀 USIKOSE FURSA KAMA HII! Jiunge na PrimePursuits kwa fursa zaidi za ajira, biashara, na uwekezaji! 🔗 https://whatsapp.com/channel/0029Vb0ndEg4dTnMS8sJwm0Y 📢 SHARE kwa marafiki zako – Fursa ni kwa wote! #ajiratanzania #restaurantjobs #primepursuits #fursazaajira
🙏 1

Comments