START TEK
START TEK
February 26, 2025 at 09:55 AM
🔥 FURSA YA AJIRA | UBUNTU IMPACT 🔥 🔹 Nafasi: Sales Administrator 📍 Eneo: Mwanza, Tanzania 📅 Mwisho wa Maombi: 10 Machi 2025 ✅ Sifa zinazohitajika: ✔️ Advanced Diploma/Bachelor’s Degree ✔️ Uzoefu wa miaka 3 katika sekta ya ujenzi ✔️ Uzoefu katika viwanda vya uzalishaji (Manufacturing Industry) 📩 Tuma Maombi Sasa Kupitia: 🌐 www.ubuntuimpact.co.tz ⏳ Usikose fursa hii ya kuwa sehemu ya timu yenye athari kubwa kwenye sekta ya biashara! 📢 Endelea kufuatilia PrimePursuits kwa fursa zaidi za ajira, uwekezaji, na maarifa ya biashara! 📲 SHARE kwa wengine ili nao wanufaike!

Comments