START TEK
START TEK
March 1, 2025 at 11:25 AM
🔥 FURSA ZA KUPATA KIPATO KWA KUJIAJIRI (MITAJI MIDOGO) 🔥 Kama unatafuta ajira lakini hupendi kutegemea mshahara wa mwajiri, hizi ni fursa za kujiajiri kwa mtaji mdogo hapa Tanzania: 1️⃣ Biashara ya Miamala ya Fedha (Wakala wa Simu & Bank) 📲 🔹 Mtaji: TZS 500,000 – 1,500,000 🔹 Unachohitaji: Leseni, laini za mitandao, float ya kuanzia 2️⃣ Uuzaji wa Mitumba (Nguo & Viatu) 👕👟 🔹 Mtaji: TZS 100,000 – 500,000 🔹 Nunua mzigo Kariakoo au kwa wauzaji wa jumla kisha uuze online au kwa njia ya mtaa 3️⃣ Ujazaji wa Mafuta ya LPG (Gas) 🛢️ 🔹 Mtaji: TZS 300,000 – 1,000,000 🔹 Uuzaji wa mitungi midogo ya gesi kwa watumiaji wa kawaida 4️⃣ Utoaji wa Huduma za IT & Graphics Design 💻🎨 🔹 Mtaji: Laptop + Software (TZS 500,000 – 2,000,000) 🔹 Huduma: Kutengeneza websites, logo, business cards, social media management 5️⃣ Catering Services (Upishi wa Chakula) 🍲 🔹 Mtaji: TZS 200,000 – 1,000,000 🔹 Unachohitaji: Jiko, vyombo, viungo na wateja wa ofisi/mtaa 6️⃣ Kutengeneza Sabuni, Batiki na Manukato 🧼👕 🔹 Mtaji: TZS 50,000 – 300,000 🔹 Uza kwa mtaa, maduka au online 7️⃣ Ufugaji wa Kuku wa Nyama/Mayinzi 🐓 🔹 Mtaji: TZS 500,000 – 1,500,000 🔹 Unachohitaji: Banda, vifaranga, chakula, na soko 8️⃣ Kilimo Cha Muda Mfupi (Mboga Mboga) 🥬 🔹 Mtaji: TZS 200,000 – 1,000,000 🔹 Mfano: Mchicha, matembele, nyanya, hoho (soko ni kubwa kwa hoteli & masoko) 9️⃣ Uuzaji wa Juice & Matunda Baridi 🥤🍉 🔹 Mtaji: TZS 50,000 – 200,000 🔹 Unachohitaji: Blenda, meza ndogo, matunda safi 🔟 Kuwa Dalali wa Nyumba & Viwanja 🏡 🔹 Mtaji: Karama za mawasiliano 🔹 Tafuta nyumba/viwanja vinavyouzwa au kupangishwa kisha utangaze online 🔥 UNATAKA KUWA MFANYABIASHARA? 👉 PrimePursuits inakuletea maarifa na fursa za biashara kila siku! 📢 SHARE na wengine ili nao wanufaike!
👍 1

Comments