
GSM Group
February 26, 2025 at 09:02 AM
#gsmjoggingclub Tumejipanga,Tukapambana na Hatimaye Tukang'ara katika #kilimanjaromarathon2025!
Tunawashukuru washiriki wote wa kilometa za mbio mbalimbali na tunajivunia wakimbiaji wetu wote waliofanikiwa kumaliza na kupata medali🎖️
Ulikuwa wakati mzuri wa kujumuika na kujenga Afya na mahusiano mazuri baina ya makampuni tofauti, maana ni sehemu kubwa ya majukumu yetu.
Hongereni👏 Kwa Kila mmoja alieshiriki Kwa kuwakilisha #gsmjoggingclub💪 vyema.
#kilimanjaromarathon
#yastanzania_
#crdbbanksports
#gsmjoggingclub💪#kilimarathon2025#yasinternationalhalfkilimarathon#crdbbankmarathon
