
GSM Group
249 subscribers
About GSM Group
We are customer centric dedicated to provide quality products & services and connect businesses to bigger african market. We are #makingithappen
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Afya ni mtaji wako, linda afya yako na bima sahihi ya #galcoinsurance_brokers Wasiliana nasi kwa namba 0745000000 #uhakikanasalama#galcoinsurance #galcoinsurance_brokers #uhakikanabima


Tunaianza wiki mpya tukiwa tuna Jibusti kisawasawa ClassicG-BoostDrink 💪⚡ #Jibustikisawasawa#gboosttz#gsmbeverage

#Gsmjoggingclub💪 imefanikiwa kushiriki Kwa mafanikio katika @kilimanjaromarathon 2025.Timu yenye Nguvu na Dhamira ya ushindi #Gsmjoggingclub Tunajivunia wakimbiaji wetu wote waliofanikiwa kumaliza mbio na kupata medali🎖️ Tuendelee kusonga mbele Kwa kuipeperusha bendera ya #Gsmjoggingclub💪 #kilimanjaromarathon #yastanzania_ #crdbbanksports #Gsmjoggingclub#kilimarathon2025#yaskiliinternationalhalfmarathon #crdbbank

Ni zaidi ya ujasiri ukiwa na G-Boost Drink ⚡ JIBUSTI KISAWASAWA💪⚡ #Classic G-Boost Drink #Apple G-Boost Drink #Gsmbeverage#Gboosttz#jibustikisawasawa#gsmgroupofcompanies

#Gsmjoggingclub Tumejipanga,Tukapambana na Hatimaye Tukang'ara katika #kilimanjaromarathon2025! Tunawashukuru washiriki wote wa kilometa za mbio mbalimbali na tunajivunia wakimbiaji wetu wote waliofanikiwa kumaliza na kupata medali🎖️ Ulikuwa wakati mzuri wa kujumuika na kujenga Afya na mahusiano mazuri baina ya makampuni tofauti, maana ni sehemu kubwa ya majukumu yetu. Hongereni👏 Kwa Kila mmoja alieshiriki Kwa kuwakilisha #Gsmjoggingclub💪 vyema. #kilimanjaromarathon #yastanzania_ #crdbbanksports #Gsmjoggingclub💪#kilimarathon2025#yasinternationalhalfkilimarathon#crdbbankmarathon
