
GSM Group
February 26, 2025 at 09:05 AM
#gsmjoggingclub💪 imefanikiwa kushiriki Kwa mafanikio katika @kilimanjaromarathon 2025.Timu yenye Nguvu na Dhamira ya ushindi #gsmjoggingclub
Tunajivunia wakimbiaji wetu wote waliofanikiwa kumaliza mbio na kupata medali🎖️
Tuendelee kusonga mbele Kwa kuipeperusha bendera ya #gsmjoggingclub💪
#kilimanjaromarathon
#yastanzania_
#crdbbanksports
#gsmjoggingclub#kilimarathon2025#yaskiliinternationalhalfmarathon #crdbbank