
Mr Chakushangaza Elimu Solutions
February 18, 2025 at 12:36 PM
*LINI MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TRA*?
Kesho 19/02/2025 ndio mwisho wa.kutuma maombi TRA rasmi majira ya saa 5:59:59 usiku (saa tano dakika hamsini na tisa na sekunde hamsini na tisa) dirisha litafungwa hivyo mjitahidi kukamilisha kazi zenu kwa wakati
Mara nyingi asubuhi kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi jioni mfumo wa TRA hua unakua mzito na mara nyingine hata unagoma kufunguka
Lakini majira ya saa 12 jioni hadi saa 3 usiku mfumo hua unaanza kua mwepesi japo bado unakua unahitaji subra kuweza kumaliza kazi kwa haraka
Kuanzia saa 6 usiku hadi saa mbili asubuhi mfumo hua unakua chap sana hivyo jitahidi ufanye kazi muda ambao mfumo utakua haraka
Pia kama umeshindwa kukamilisha maombi unaweza mtafuta mtu yeyote wa karibu yako au ukaniona mimi *Mr chakushangaza* nifanye kazi na wewe kwa uaminifu
*MIMI NAFANYA KAZI NA MTU YEYOTE AKIWA POPOTE HAKUNA ULAZIMA WA KUONANA NI WEWE KUNITUMIA DOCUNTS ZAKO KISHA NAFANYA KAZI, sipokea pesa kanla sijamaliza kazi kuepusha usumbufu* (malipo ni baada ya kazi)
Naandika
CV
Cover latter
Pia ukihitaji TIN no nakutafutia
_Kwa bei nafuu_
NOTE:NI haki yako kama mtanzania kuomba nafasi ya ajira kulingana na sifa za kazi husika, usijinyime haki yako
By
Mr Chakushangaza
0627368679
❤️
1