
๐ ๐ฟ ๐๐ต๐ฎ๐ธ๐๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ฎ ๐๐น๐ถ๐บ๐ ๐ฆ๐ผ๐น๐๐๐ถ๐ผ๐ป๐
February 19, 2025 at 10:20 PM
_________________________________
*MWISHO UMEWADIA - TRA*
_________________________________
๐ Rasmi, muda wa kutuma maombi ya kazi TRA umefikia tamati leo 19/02/2025.
๐ Hongera kwa wote mliofanikiwa kukamilisha maombi yenu kwa ukamilifu.
๐ Pole kwa wale ambao, kwa sababu moja au nyingine, hamkuweza kumalizia mchakato wa kutuma maombi.
_______________________
*USHAURI WA BURE!*
_______________________
Jisajili kwenye mfumo wa ajira wa TRA hata kama kwa sasa hawajatangaza nafasi za kazi.
โ
Hii itakurahisishia mambo pale nafasi mpya zitakapotangazwaโutakuwa na nafasi ya kusubmit moja kwa moja badala ya kuanza mchakato mzima upya.
___________________________________
TUNAHAMIA ZIMAMOTO!
___________________________________
๐ฅ Baada ya TRA, sasa tunahamia ZIMAMOTO! Kama unahitaji:
โ
Kutuma maombi ya kazi ZIMAMOTO
โ
Kuandikiwa CV yenye ubora
โ
Kuandikiwa Cover Letter inayovutia waajiri
โ
Kufungua account ya Ajira Portal
โ
Kusajiliwa kwenye mfumo wa TRA wa kutuma maombi ya kazi ili iwe rahisi unapohitaji kuomba kazi siku zijazo
๐ Wasiliana nami:
_Mr. Chakushangaza โ 0627368679_